S sunguruma Member Joined Sep 14, 2012 Posts 34 Reaction score 6 Oct 4, 2012 #1 Habari wana jamvini naomba kujua level ya mishahara kwa VETA kwa Mhasibu anae anza kazi inakuwaje kwa wale walio fanya kazi kule au wanandugu wanao fanya kazi VETA shukurani ili niweze pima unga
Habari wana jamvini naomba kujua level ya mishahara kwa VETA kwa Mhasibu anae anza kazi inakuwaje kwa wale walio fanya kazi kule au wanandugu wanao fanya kazi VETA shukurani ili niweze pima unga