Ngazi za mishahara watumishi wa SIDO

Ngazi za mishahara watumishi wa SIDO

Habarini wadau kwa anaejua ngazi za mishahara SIDO kwa kada za business development officers na credit officers tujuzane packages zake
Tafuta mtu anayefanya kazi hapo akupe dondo za hapa na pale.. huku watu wanaweza kukukatisha tamaa
 
Mkuu we nenda tu kapate msingi na connection.....sidhani kama unaweza kuanza na m 2,chamsingi nenda tu kaanze kazi kama umepata
 
Habarini wadau kwa anaejua ngazi za mishahara SIDO kwa kada za business development officers na credit officers tujuzane packages zake
Mshahara wa SIDO ni wa PGSS ambao ni wa mashirika ya umma so usijali. Huwezi kuanza kazi na mshahara wa chini ya Millioni 1.
 
Mshahara wa SIDO ni wa PGSS ambao ni wa mashirika ya umma so usijali. Huwezi kuanza kazi na mshahara wa chini ya Millioni 1.
Umemaliza show na Jamaa yangu hapo kiasi kwa sasa mambo si haba japo mala ya kwanza walikuwa wako hovyo hata Halmashauri walikuwa juu.
 
Back
Top Bottom