Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Habari za wakati huu!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ninasumbuliwa sana na wanyama waharibifu hususan ngedere shambani kwangu. Nimetumia mbinu mbalimbali mfano kuwatega mitego, kuwafukuza kwa kutumia mbwa n.k ila mbinu zote hizi zimefeli. Kwa yeyote ambaye anafahamu mbinu mbadala ya kuwadhibiti anifahamishe au kama kuna aina ya sumu ya kuwawekea isiyo na harufu pia itakuwa nzuri zaidi maana ni wajanja mno ukiweka sumu ya kawaida hawali wanasikia harufu.
Nawasilisha.
Bora wangekuwepo huku wangesaidia sana na jinsi ngedere walivyo wengi nadhani vitambi vingewapata.Mkuu huko shambani kwako hakuna nduguze Kikwete (wakwere)? Wale jamaa wanapenda kujifananisha na wachina wa Tanzania (Wahehe) kwa kula vitu vya hajabu.
Kuwa serious kidogo basi kwenye mambo ya msingi.We si Summo Hung?! Piga Kung Fu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Wee jamaa savage sanaWe si Summo Hung?! Piga Kung Fu...
dah, we jamaa.Tengeneza horny speak rekord tangazo weka flash na solar piga play back inakuwa kama kariakoo. TANGAZO TANGAZO...ONYO KALI.....................NGEDELE ATAKAEKAMATWA ATAUAWA.
Bora wangekuwepo huku wangesaidia sana na jinsi ngedere walivyo wengi nadhani vitambi vingewapata.