Shukrani mkuuSamaki wakavu ni balaa kwa nyani
Funga samaki kwenye baadhi ya mahindi na pindi watakapogusa ile harafu hawaipendi kabisa
Kwa hiyo watajaribu kuifuta kwa mikono mpaka damu iwatoke na huo utakuwa mwisho wao kuja hapo
Lingine huko India wao wana Tiger [emoji234] wengi kwa hiyo nyani wanaogopa hao jamii ya chui na wamebuni kuwapaka rangi mbwa waonekane kama chui
Ila kwetu hatuna tigers unaweza kuwapaka mbwa rangi kama ya chui wetu huko
View attachment 1720566