Ngeleja alamba red card!

Rugas

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2009
Posts
1,048
Reaction score
197
huyu jamaa ana mikosi kweli! Red card kwenye siasa,na sasa kwenye kambumbu! Amepewa red card kwenye mchezo kati ya bunge la tz na bunge la Eac.
 
hahahaaaa....!!!.hivi ule mchezo wa juzi uliishaje?
 
Na bado ana moyo ila inategemea na refa kama ni mmoja wa wabunge basi kafanya kusudi.
Ila kusakamwa na watu at all angles lazima udate kama uu timamu
 
hivi we ngeleja yaani namatatizo yote haya ya umeme we huna habari unaenda kusukuma gozi kama xavi...kheee kweli mwnakwetu huna haraka..uje huku una kimeo cha posho a mtoto wa mkulima na bi kiroboto mmesaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…