Hii ndio sisi m.
Tukisema huwa viongozi wao wengi hamnazo wanasema twatukana.
Lakini ndivyo walivyo. Alafu utegemee lolote humo? Haya ndio matunda yao wenyewe wanaita ndio wenye chama.
Sitaki kuamini kwamba Watu wa Sengerema wanaweza kuamuliwa nani wa kuwaongoza. Mchezo wanaoufanya hao CCM ni wa aibu na siasa zilopitwa na wakati katika zama hizi.
you are wrong. Politically Ngelaja can stand with anybody. He stood with the so strong guy that time (minister -Shija) and he outperformed. The fact is that though Ngeleja is a minister unlike other many ministers and MPs he always remember to visit his people in his constituency!!!!! Anakubalika sana huyu jamaa kwao. Na hata alipoingia kwenye hiyo Wizara hajawahifanya madudu yoyote. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!!These insanes are still existing? Mbona kijana huyu anajidhalilisha hivi,does it mean that he cannot stand competition? This is another Tyrannical move,it's disguisting...
Visiting is not tija ndugu yangu what has he done (delivered) to his people ndicho kitu cha msingi.you are wrong. Politically Ngelaja can stand with anybody. He stood with the so strong guy that time (minister -Shija) and he outperformed. The fact is that though Ngeleja is a minister unlike other many ministers and MPs he always remember to visit his people in his constituency!!!!! Anakubalika sana huyu jamaa kwao. Na hata alipoingia kwenye hiyo Wizara hajawahifanya madudu yoyote. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!!