M Mdanganywa JF-Expert Member Joined Jun 15, 2009 Posts 620 Reaction score 342 Nov 2, 2010 #1 Wakuu, Naona wote tumeondoa kabisa macho na masikio kwa William Ngeleja kule Sengerema, na hii inampa nafasi ya kuchakachua anavyotaka. Yeyote mwenye news za huko please. Maana za kutoka huko siwezi kuita ni update.
Wakuu, Naona wote tumeondoa kabisa macho na masikio kwa William Ngeleja kule Sengerema, na hii inampa nafasi ya kuchakachua anavyotaka. Yeyote mwenye news za huko please. Maana za kutoka huko siwezi kuita ni update.
Mchizi JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 2,886 Reaction score 7,000 Nov 2, 2010 #2 Alipita bila kupingwa