Ngeli sahihi ya vifaranga ni ipi?

Ngeli sahihi ya vifaranga ni ipi?

Magotichuma

Member
Joined
Nov 24, 2022
Posts
15
Reaction score
18
Nawasalim nyote. Pokeeni Salam.

Naona vyema tuwe na uzi mmoja maalum wa ngeli. Naomba usaidizi wa ngeli sahihi ya maneno haya.

Kifaranga/Vifaranga - ( naona watu wengi hutumia ki-vi ambapo wengine utumia a-wa)
 
Back
Top Bottom