M Magotichuma Member Joined Nov 24, 2022 Posts 15 Reaction score 18 Dec 8, 2022 #1 Nawasalim nyote. Pokeeni Salam. Naona vyema tuwe na uzi mmoja maalum wa ngeli. Naomba usaidizi wa ngeli sahihi ya maneno haya. Kifaranga/Vifaranga - ( naona watu wengi hutumia ki-vi ambapo wengine utumia a-wa)
Nawasalim nyote. Pokeeni Salam. Naona vyema tuwe na uzi mmoja maalum wa ngeli. Naomba usaidizi wa ngeli sahihi ya maneno haya. Kifaranga/Vifaranga - ( naona watu wengi hutumia ki-vi ambapo wengine utumia a-wa)
Shozylin JF-Expert Member Joined Jul 21, 2022 Posts 341 Reaction score 699 Dec 15, 2022 #2 A-Wa kwakua Ki-Vi hutumika kwenye vitu tu visivyo na uhai.
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,539 Reaction score 11,419 Jul 10, 2023 #4 Shozylin said: A-Wa kwakua Ki-Vi hutumika kwenye vitu tu visivyo na uhai. Click to expand... Hiyo 'a na wa' mfano wake ni vipi? Najua ki na vi.
Shozylin said: A-Wa kwakua Ki-Vi hutumika kwenye vitu tu visivyo na uhai. Click to expand... Hiyo 'a na wa' mfano wake ni vipi? Najua ki na vi.
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Jul 10, 2023 #5 Mnaongea nini