Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kuna changamoto kubwa sana kwenye sehemu ya fitness ya wachezaji wa Simba na hii inaweza ikawa inasababishwa na mwalimu ndo maana Kuna wakati unaona wachezaji wanatafuta walimu binafsi wa mazoezi".
Ukiangalia jinsi ambavyo wachezaji wa Simba mikimbio Yao unawaona kabisa hawana Fitness,angalia wakiwa hawana mpira wanavyopata shida kuutafuta mpira unaona kabisa ni timu ambayo inakosa Fitness"
Soma Pia:
#FutbalPlanetUpdates

- Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu wachezaji wetu vinginevyo tumekwisha
- Wachezaji wapya wa Simba wanahitaji muda ili kuzoea mazingira ya ligi yetu, tafadhalini sana mashabiki wa Simba
#FutbalPlanetUpdates