Ngo! Ngo! Ngo! Hodi humu

Ngo! Ngo! Ngo! Hodi humu

Panctuality

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2019
Posts
775
Reaction score
1,150
Habarini wanaJf.

Naam rasmi naungana nanyi leo katika JF ambapo ni eneo salama na kitovu cha uelewa,naamini hapa ni zaidi ya Chuo Kikuu,Havard University ikasome! Nipokeeni, nileleeni, nikuzeni na nizeekapo niwiwe na busara zaidi ya kawaida.

Naipenda sana JF
 
Pana wenyeji wengine hujinasibu na ID za KIMKAKATI za mpendwa mwenda kulima:

IMG_20210619_163937_115.jpg

Ulikuwa umepotelea pande za wapi mkuu?
 
Karibu hapa panaitwa ntakuja Ila kutoka mpaka tuandike RIP dadeki🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom