Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
Habarini wanaJf.
Naam rasmi naungana nanyi leo katika JF ambapo ni eneo salama na kitovu cha uelewa,naamini hapa ni zaidi ya Chuo Kikuu,Havard University ikasome! Nipokeeni, nileleeni, nikuzeni na nizeekapo niwiwe na busara zaidi ya kawaida.
Naipenda sana JF
Ahsante sanaKaribu....
Sikuwa na device inayo-process vizuri onlinePana wenyeji wengine hujinasibu na ID za KIMKAKATI za mpendwa mwenda kulima:
View attachment 1823740
Ulikuwa umepotelea pande za wapi mkuu?
UsijaliKrb sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Ahsante sanaKaribu sana JamiiForums...
Sema ulikua na kiswaswadu simple &clear[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sikuwa na device inayo-process vizuri online