Ngo..!ngo..!ngo..!Hodii!

Ngo..!ngo..!ngo..!Hodii!

William Daniel

New Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu great thinkers wote humu ndani,mi mgeni wenu mpya nilikuwa naomba ushirikiano wenu na mnihakikishie kweli humu ni kwa wale wanaothink great kwelikweli.
 
Punguza munkari mkuu! Karibu umeshakaribia,
 
Karibu sana, nini maoni yako juu ya hoja ya AG kuhusu wazee wa kiislamu kuwepo kisheria kwenye mabaraza ya wazee mahakamani.!??
 
Jamani mi mwenyewe mgeni msaada wenu plz wadau wezangu
 
Back
Top Bottom