hart Member Joined Jan 22, 2013 Posts 22 Reaction score 5 Jan 22, 2013 #1 Habari zenu wana jf najisikia amani kuwa member wa jf! Pamoja
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jan 22, 2013 #2 Pamoja sana.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,540 Jan 22, 2013 #3 Globu kazi inaelekea kukushinda, mgeni kakaa getini muda wote huo ndo unamkaribisha saizi...!?? angalia watu8 atakabidhiwa ubawabu, BTW karibu mgeni Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Globu kazi inaelekea kukushinda, mgeni kakaa getini muda wote huo ndo unamkaribisha saizi...!?? angalia watu8 atakabidhiwa ubawabu, BTW karibu mgeni
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jan 23, 2013 #5 Baba V said: Globu kazi inaelekea kukushinda, mgeni kakaa getini muda wote huo ndo unamkaribisha saizi...!?? angalia watu8 atakabidhiwa ubawabu, BTW karibu mgeni Click to expand... Mkuu Baba V majukumu yamekuwa mengi. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba V said: Globu kazi inaelekea kukushinda, mgeni kakaa getini muda wote huo ndo unamkaribisha saizi...!?? angalia watu8 atakabidhiwa ubawabu, BTW karibu mgeni Click to expand... Mkuu Baba V majukumu yamekuwa mengi.
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,654 Reaction score 8,564 Jan 23, 2013 #6 Humu wengne wenyeji wanazngua tu na akaunti kibao
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jan 23, 2013 #7 Karibu sana JF kiongozi.
hart Member Joined Jan 22, 2013 Posts 22 Reaction score 5 Jan 23, 2013 Thread starter #8 shukrani wote kwa kunikaribisha wakuu:smiling: :wave:
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jan 23, 2013 #9 Karibu sana JF...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jan 23, 2013 #10 Baba V said: Globu kazi inaelekea kukushinda, mgeni kakaa getini muda wote huo ndo unamkaribisha saizi...!?? angalia watu8 atakabidhiwa ubawabu, BTW karibu mgeni Click to expand... Globu said: Mkuu Baba V majukumu yamekuwa mengi. Click to expand... Hahaha... Hata hivyo wakaribishaji wamekuwa wa kumwaga recently, tunashirikiana kwa pamoja...hata wageni wamejoin hiki kikosi kazi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba V said: Globu kazi inaelekea kukushinda, mgeni kakaa getini muda wote huo ndo unamkaribisha saizi...!?? angalia watu8 atakabidhiwa ubawabu, BTW karibu mgeni Click to expand... Globu said: Mkuu Baba V majukumu yamekuwa mengi. Click to expand... Hahaha... Hata hivyo wakaribishaji wamekuwa wa kumwaga recently, tunashirikiana kwa pamoja...hata wageni wamejoin hiki kikosi kazi