Karibu but tabia za ki facebook humu jamvin
hatuzitaki
mwanangu naomba unifafanulie.
kupm maana yake kuPata Mapesa
wats up deejay, nasmile how culd i PM?
Duhh!! haya mkuu fuata nyuki ule asali na karibu sana JF
teh teh teh,nilikuwa natania.Ngoja watafika wataalam wa kupm wakina mpatanishi,erickb52,kongosho,mrimi,na wale warembo nimewasahau ma-name
kwanin erick52 afagie wakati wewe ndo umenipa ruhusa?
Yeye ndio mfagizi kwa siku hii ya leo.