GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,001
- 704
karibu sana bwana Godfrey Tajiri, mimi naitwa Preta
Karibu kaka
asante sana Preta, nishakaribia.
habari za hapa?
Karibu gtajiri.
Halafu preta ni something yangu....usimzoee sana.
habari za hapa ni nzuri sana....karibu kijiji cha mahusiano,mapenzi na urafiki.....hutajuta