Wakubwa shikamooni,
naomba msaada wenu wa namna ya ku-register NGO ambayo nimeianzisha. Naomba kujua ofsi gani inahusika kwenda kuiandikisha serikalini, documents zinazohitajika, n.k.
ni matumaini yangu nitaweza kusaidiwa katika hili wKuuu.
wasalaaam,
Pasco jr.