Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
SawaUnapotaka kwenda kuomba kazi mahala,ikiwa tayari umesha vaa mpaka viatu,na kunywa chai yako,isome zaburi ya 65 kwa nguvu na sauti, huku umeshika document zako,uimalize zaburi hiyo!,Tafadhali usiwe umekaa kitandani!....baada ya kuisoma nenda!,
#Goodluck.
#Sunday gift
Mambo Muhimu Katika Zaburi HiiUnapotaka kwenda kuomba kazi mahala,ikiwa tayari umesha vaa mpaka viatu,na kunywa chai yako,isome zaburi ya 65 kwa nguvu na sauti, huku umeshika document zako,uimalize zaburi hiyo!,Tafadhali usiwe umekaa kitandani!....baada ya kuisoma nenda!,
#Goodluck.
#Sunday gift
Interview zilikuwepo soma habari ya Yakobo na LabanDaudi wakati anaandika tungo hii wala kulikua hakuna interview, kwaio kama ulifanikiw sio kwa sababu ya tungo za bwana Daudi, mana hata ww ungewez kuund ngonjera zako kama Daudi, simple ulifanikiw kwa juhudi na maarifa na sio kwa sababu ya tungo za Daudi especially alikua akiwambia wana wa Israel sio ww mtanzania wa manyoni
Je Daudi alikua akimwimbia mashairi haya mungu wa kristo au mungu wa Islam?Mambo Muhimu Katika Zaburi Hii
Mungu Anayejibu Sala:
Mungu anasifiwa kama msikiaji wa maombi na msamehevu wa dhambi.
Utunzaji wa Mazingira: Inaonyesha nguvu za Mungu katika kuweka milima imara na kutuliza dhoruba za bahari
.Baraka za Mavuno:
Inashukuru kwa ajili ya mvua na ustawi wa mashamba.
Zaburi 65Unapotaka kwenda kuomba kazi mahala,ikiwa tayari umesha vaa mpaka viatu,na kunywa chai yako,isome zaburi ya 65 kwa nguvu na sauti, huku umeshika document zako,uimalize zaburi hiyo!,Tafadhali usiwe umekaa kitandani!....baada ya kuisoma nenda!,
#Goodluck.
#Sunday gift
Nipe kifungu..Interview zilikuwepo soma habari ya Yakobo na Laban
SijuiJe Daudi alikua akimwimbia mashairi haya mungu wa kristo au mungu wa Islam?
Manabii wote walimrefer MUNGU kama BWANA.Je Daudi alikua akimwimbia mashairi haya mungu wa kristo au mungu wa Islam?
Mwanzo 29Nipe kifungu..
Interview zilikuwepo soma habari ya Yakobo na Laban muongo alimdanganya yakob hadharan, Kwa kigezo cha mila.
Daudi alikua nabii au mfalme?? Sitak kujiongeza nataka nipate facts, kujiongeza ni kutumia utashiManabii wote walimrefer MUNGU kama BWANA.
Nabii wa waislamu alimrefer Mungu kama Allah!
Jiongeze uone kama huyo Mungu ni Mungu mmoja
Daudi alikua nabii au mfalme?? Sitak kujiongeza nataka nipate facts, kujiongeza ni kutuManabii wote walimrefer MUNGU kama BWANA.
Nabii wa waislamu alimrefer Mungu kama Allah!
Jiongeze uone kama huyo Mungu ni Mungu mmoja
Labani alikua mdanganyifu tuu. Kama aliwez kudangany kitu kile, je kwann asidanganye vingine pia. Na hakuna Mahali Laban alisema alikoseaMwanzo 29
Usifanye zoezi hili maana tayari imeshashindikana kitambo sana kwa imani yako!...Kama hii ndio siri yako ya kwanza kabisa katika zile 1000 na inaonekana haina mashiko kwenye ulimwengu wa sasa, nna wasiwasi hizo siri 999 zilizobaki zitakuwa ni majanga matupu!