camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Mfalme Daudi hakuwa nabii na alimrefer Mungu wake kwa kumuita BWANA and so did other prophets with the exception of only one from an Arabian peninsulaDaudi alikua nabii au mfalme?? Sitak kujiongeza nataka nipate facts, kujiongeza ni kutu
Kwani kusoma Zaburi ndio kunazuia mtu asitumie akili yake kufanya maandalizi?Usifanye zoezi hili maana tayari imeshashindikana kitambo sana kwa imani yako!...
Kwaio tunakubali kua aliyoyaandika ni maneno yake binafsi kwa utashi na matakwa yakeMfalme Daudi hakuwa nabii na alimrefer Mungu wake kwa kumuita BWANA and so did other prophets with the exception of only one from an Arabian peninsula
Na wote mkifanya hivo kweny usail Mungu atamchagua nani?Unapotaka kwenda kuomba kazi mahala,ikiwa tayari umesha vaa mpaka viatu,na kunywa chai yako,isome zaburi ya 65 kwa nguvu na sauti, huku umeshika document zako,uimalize zaburi hiyo!,Tafadhali usiwe umekaa kitandani!....baada ya kuisoma nenda!,
#Goodluck.
#Sunday gift
😁😁😁😁 Daudi ni mtume wa Allah.Je Daudi alikua akimwimbia mashairi haya mungu wa kristo au mungu wa Islam?
Nakupa kingine,sala ni sawa na foundation,unaposali unatengeneza strip moja!,unaporudia kusali mara kwa mara unatengeneza thick foundation,kama msingi mkubwa na mzito,tuachane na habari za mafuta na maji ya upako!,turejee katika msingi wa sala,unapokuwa unasali kama ndiyo msingi wako wa kila siku bila kukosa,ndipo unatengeneza uzito na uimara wa utendaji katika sanaNa wote mkifanya hivo kweny usail Mungu atamchagua nani?
Locus of control
Na mtazamo wako huu unaweza kutunga nini hata mtaani kwako au familia yako wakaishi katika hayo, acha kudharau maandiko matakatifu.Daudi wakati anaandika tungo hii wala kulikua hakuna interview, kwaio kama ulifanikiw sio kwa sababu ya tungo za bwana Daudi, mana hata ww ungewez kuund ngonjera zako kama Daudi, simple ulifanikiw kwa juhudi na maarifa na sio kwa sababu ya tungo za Daudi especially alikua akiwambia wana wa Israel sio ww mtanzania wa manyoni
ChaiNakupa kingine,sala ni sawa na foundation,unaposali unatengeneza strip moja!,unaporudia kusali mara kwa mara unatengeneza thick foundation,kama msingi mkubwa na mzito,tuachane na habari za mafuta na maji ya upako!,turejee katika msingi wa sala,unapokuwa unasali kama ndiyo msingi wako wa kila siku bila kukosa,ndipo unatengeneza uzito na uimara wa utendaji katika sana
Naomba nikupuuze tafadhali!Kwaio tunakubali kua aliyoyaandika ni maneno yake binafsi kwa utashi na matakwa yake
Hata wakati wa nuhu walikuwepo pia!/Chai
Stor za vijiwe vya kahawa galilayaHata wakati wa nuhu walikuwepo pia!/
Msingi wa foundation na nguvu ya sala upo katika kurudia sala mara nyingi zaidi!,+ subira,maana mungu siyo mwanadamu,anaweza kukukinga kwa baya pia kwa sababu maalumu/ yaani akakupa dharura ambayo itakufanya usiondoke hapo ili upone kwenye ajali ile!....
#badala uwe mpole uchote hekima!?.
Inaelekea mlikuwa mnaishi na Daudi nyumba moja haya tuambie alikuwa akifanya nini pindi anaandika hiyo zaburi.Daudi wakati anaandika tungo hii wala kulikua hakuna interview, kwaio kama ulifanikiw sio kwa sababu ya tungo za bwana Daudi, mana hata ww ungewez kuund ngonjera zako kama Daudi, simple ulifanikiw kwa juhudi na maarifa na sio kwa sababu ya tungo za Daudi especially alikua akiwambia wana wa Israel sio ww mtanzania wa manyoni
Hakuna utakatifu katika tungo za Daudi, ni ngonjera kama za joka la mdimu tuNa mtazamo wako huu unaweza kutunga nini hata mtaani kwako au familia yako wakaishi katika hayo, acha kudharau maandiko matakatifu.
Maneno ya Daudi sio Sala, je unaeza kutumia maneno ya mtu mwingine aliyoyasema akiwa na matakwa yake kuyaita Sala?Nakupa kingine,sala ni sawa na foundation,unaposali unatengeneza strip moja!,unaporudia kusali mara kwa mara unatengeneza thick foundation,kama msingi mkubwa na mzito,tuachane na habari za mafuta na maji ya upako!,turejee katika msingi wa sala,unapokuwa unasali kama ndiyo msingi wako wa kila siku bila kukosa,ndipo unatengeneza uzito na uimara wa utendaji katika sana
Usinipuuze labda kama ungepend tupuuze pia uliyoyasema apo awali kua ni hekaya tuu?Naomba nikupuuze tafadhali!
Mungu wa wakristo na waislamu ni mungu tofauti kabisa.Manabii wote walimrefer MUNGU kama BWANA.
Nabii wa waislamu alimrefer Mungu kama Allah!
Jiongeze uone kama huyo Mungu ni Mungu mmoja
Allah ni server ya waarabuManabii wote walimrefer MUNGU kama BWANA.
Nabii wa waislamu alimrefer Mungu kama Allah!
Jiongeze uone kama huyo Mungu ni Mungu mmoja