fadhili muhala
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 137
- 319
Naomb mstari wowote ukionesha nuhu alifanya Sala?? Na kama alifanya alifanya kwa mungu gani? Je kweny safina ya nuhu nyoka alikuepo kweli? Kama alikuepo kwanini uyo mungu alitka ambebe nyoka muovu??Y wakati wa nuhu walikuwepo pia!/
Msingi wa foundation na nguvu ya sala upo katika kurudia sala mara nyingi zaidi!,+ subira,maana mungu siyo mwanadamu,anaweza kukukinga kwa baya pia kwa sababu maalumu/ yaani akakupa dharura ambayo itakufanya usiondoke hapo ili upone kwenye ajali ile!....
#badala uwe mpole uchote hekima!?.
Like yesu ni server ya wa waibrania,Allah ni server ya waarabu
Upo sawa kabisaLike yesu ni server ya wa waibrania,
Wote wawil walikua mastaa ktk movie na adui yao kuu mmoja uku aliitw shetan huku akaitw sheitwan au ibilis
Zaburi ni ya moto sana ina ukali wake sio kwa watesi tu bali kwa mengiUnapotaka kwenda kuomba kazi mahala,ikiwa tayari umesha vaa mpaka viatu,na kunywa chai yako,isome zaburi ya 65 kwa nguvu na sauti, huku umeshika document zako,uimalize zaburi hiyo!,Tafadhali usiwe umekaa kitandani!....baada ya kuisoma nenda!,
#Goodluck.
#Sunday gift
Tatizo la kutosoma biblia vizuri, pia pride huondoa nafasi ya kujifunzaHuwezi kutumia bible kama hirizi! Miujiza ya Mungu ipo, ila mostly hutokea kwa hiari yake, sio matakwa yetu.
Una maswali ya kitoto unatia aibu jifunze kuwa na majibu kwanza kabla hujauliza maana unatia aibu kwa vijiswali vyakoSasa ndugu je ww ni muhabu au mbabeli?? Mana kitabu hiki kiliandikw kwa ajili yao! Rejea 1wafalme 20:1 afu nambie tena je ni sawa
Jibu kitotoUna maswali ya kitoto unatia aibu jifunze kuwa na majibu kwanza kabla hujauliza maana unatia aibu kwa vijiswali vyako
Sio lazima ,mjinga usimfungulie code mwerevu atafungua na kung'amua mwenyeweJibu kitoto
Hizi ndio ngonjera, haya mwerevu jibu ww ni mu Israel auSio lazima ,mjinga usimfungulie code mwerevu atafungua na kung'amua mwenyewe
Wewe acha kabisa mambo ya kuambiwa jipe muda jielimishe utajiona ulivyopwaya ,kujifunza ni bure lakini usitumie hoja zangu kujiuliza vijiswali kujifunzaWewe ni mu Israel? Mana hv vitu usemavyo viliandikw kwa ajili yao
mtanzaniaHizi ndio ngonjera, haya mwerevu jibu ww ni mu Israel au
Bhasi hayo hayakuhusu. Badili Jina sasa.mana hilo linawakilish watu wa upindemtanzania
Huo ni mtazamo wakoHakuna utakatifu katika tungo za Daudi, ni ngonjera kama za joka la mdimu tu