Ngoja niangalie wangapi watakua wakweli.

Kote hapo sipo. Mimi hata sijui niko fungu gani.
 
Hiyo C haijaelezwa kama ni stage ya mahusiano au ya ndoa mkiwa bado hamjapata mtoto...

Sasa hapo inahitaji ufafanuzi kwanza.
Ahahhaha najua na wewe upo C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…