NGOJA NITOE RAI

Dampa

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
810
Reaction score
1,264
Naomba nitoe rai kwa members wote humu ndani hasa kipindi hiki cha mwezi mtukufu kwa ndugu zetu Waislam.

*1. Tuache lugha za matusi na za kashfa.*

*2. Tuache kutuma picha mbaya zisizo na maadili n.k*

*3. Tusitumie mwezi huu kwa lengo la kuwa kuwakwaza wengine kwa makusudi hasa watakaokuwa kwenye funga.*

*4. Ruksa kutoa mwaliko wa futar kwa Member wa group wote!!!* *hasa hasa mimi nliotoa ilo agizo unaweza nitafuta namba yangu juu apo*

RAMADHAN KAREEM!
 
Well said ila zaidi jiepushe na hasa yale majukwaa pendwa
 
Safi sio tu kipindi ramadhani hata mwezi ukiisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…