Ngoja niwaambie ni Nini kimeiangusha Barcelona ungana nami niwajuze

Uzi mzuri sana huu haya ndio madini sio nyuzi za makolo kutwa kutupigia kelele.

Niliwapuuza viongozi pale walipomuuza Arthur Melo na kuchukua zee pijanic..
Huko juve melo anacheza sana
 
Nimeisoma hii makala Kwa uchungu nahisi kusalitiwa na ukatalunya uliopo ndani ya moyo wangu 😭
 
Uzi mzuri sana na wenye madini.
Lakini katika watu walioifirisi barca hata huyo mesi yumo.

Mikataba yake anavuna hela ndefu sana na kujifaidisha binafsi kuliko club

Pamija na mengine mengi pia alikuwa akiathiri maamuzi ya club kwa kuogopa kumuudhi na kuangalia interest zake zaid.
 
Bado mnakula msoto
 
Messi ndio chanzo kikubwa Barca kushuka kama angesalia na angeungana na lewandowsk beki zingetafutwa za maana kwisha habari ulaua nzima ingetikisika na angebeba kiatu tena

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Bado mnakula msoto
Ni kweli, lakini sasa Barca wanajenga team, wakitaka mafanikio ya haraka watapotea, kwasabab ukiangalia team inacheza vizuri sema beki haijakua imara. I hope baada ya miaka ijayo itakua timu tishio sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…