greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
1. Mbao inaweza kufanya kazi sawa kama nondo au/chuma.
Unabisha....?
-Magorofa magofu ya Bagamoyo,zege zake zina mbao badala ya nondo.
2.Kadri jengo utakavyojenga karibu na bahari,ndipo unapunguza uwezo wa jengo kudumu mda mrefu.
Unabisha....?
-bati za nyumba za Dar nyingi zina kutu kuliko za Bara.
3.Chanzo kikuu cha Ongezeko la joto ndani ya Jengo ni Paa..60% ya joto upitia kwenye paa
Unabisha....?
-Nenda kwa rafiki yako ambaye Nyumba/chumba hakina Dari usikilizie joto lake.
4.Sakafu ya mbao ni nzuri zaidi kwenye maeneo yenye baridi, ila ina gharama kuliko aina karibia zote za matilio za sakafu.
Unabisha.....?
Ulizia bei za mbao za mitiki, ambazo hutumika kwenye floor
5.Dirisha la Mbao ni ngumu kupata joto lakini rahisi kuungua moto...
Unabisha.....?
Ndiyo maana hakunaga mwiko wa chuma
Una shida yoyote kwenye jengo na unahitaji ukaguzi na ushauri...kuwa huru kunitafuta....
Gharama ni za usafiri tu