Ngoja niwakumbushe leo

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Idd Selemani "Nyigu",
Godwin Aswile "Scania",
Madaraka Selemani "Mzee wa kiminyio "",
Salum Kabunda "Ninja",
Zamoyoni Mogella "Golden Boy",
Malota Soma "Ball Juggle ",
Said Mwamba "Kizota ",
Abdul Ramadhani "Mashine ",
Idd Moshi "Mnyamwezi ",
Twaha Hamidu "Noriega "
Method Mogella "Fundi ",
Itutu Kigi "Road master ",
Sanifu Lazaro "Tingisha ",
Mohamed Hussein "Mmachinga",
Mohamed Mwameja " Tanzania one"
Ali Yusuph "Tigana"
Anuari Awadhi "Bafaraa"
Bakari Malima "Jembe Ulaya"
Jabir Mahadhi "Mandieta"
Ali Mayai "Tembele"
Emmanuel Gabriel "Bat Goal"
Jobe Ayoub "Kwasakwasa ",
Thomas Kipese "Uncle Thom ",
Athuman Juma Chama "Jogoo",
Juma Bakari "Kidishi ".....

Hawa enzi zao ulikuwa hukai mbali na redio yako, tena kutana na watangazaji kama
Omary Jongo,
Ahmed Jongo,
Swedi Mwinyi,
Dominic Chilambo,
Abdalah Majura,
Salim Mbonde,
Nadhiri Mayoka na baadae wakaja akina
Juma Nkamia,
Halima Mchuka.

Nimewakumbusha mbali sana wale wa kizazi hicho, yaani soka la redioni lilikuwa na mvuto enzi hizo.

Natamani zile zama zirudi tena.
 
Haiwezi kurudi tena ile ladha ya enzi hizo, watangazaji wa siku hizi kuwasikiliza inahitaji moyo mmmno...
 
Waziri Mahadhi....Mendieta, siyo Jabir
1.Omari Chogo.....Chogo chemba.
 
Kuna mtangazaji mwingine aliitwa Iddi Rashidi Mchata! Kipindi hicho unatangaziwa mpira kama unauona 'live' TBC ilisheheni watangazaji wa ukweli!
 
Kuna mtangazaji mwingine aliitwa Iddi Rashidi Mchata! Kipindi hicho unatangaziwa mpira kama unauona 'live' TBC ilisheheni watangazaji wa ukweli!
Ukisikiliza sasa hivi unaenjoy usikilizaji?
 
Wahenga kwenye ubora wetu....
Mmemsahau hayati Ezekiel Malongo mwishoni mwishoni ndio waliofunga dimba akiwa na Juma Mkamia sema daaah huyu kawa bamia inaharibika ukubwani..
 
Tanzania wachezaji A.K.A kibao lakini Tangu kuumbwa kwa dunia hatujawahi kushika hata namba 3 ya kombe la afrika wala kupata nafasi ya kucheza kombe ladunia lakini utawasikia hao ma A.K.A wenyewe sasa mara enzi zetu soka lilikuwa juu sasa limeporomoka. Hakuna kitu cha namna hiyo kitu ambacho kimewahi angalau kututambulisha kama taifa katika ulimwengu wa michezo ni riadha....tukomae na hilo litatusaidia
 
Tumewahi kuingia fainali kombe la Africa na Nigeria
 
Kweli bora wakati wa mkoloni make hakukuwepo watu wasiojulikana
 

Hiyo ni Yanga ya mwaka 1994.
Kutoka kushoto waliosimama ni salum kabunda ninja,costantine kimanda,steven casmiry nemes,Kenneth pius Mkapa na suleiman mkata Kutoka kushoto Waliochuchumaa ni nico bambaga,sekilojo Johnson chambua,edibily Jonas lunyamila,,james tungaraza bolizozo na said Nassor mwamba kizota
 
Yanga hii hao kina Ngoma au Okwi wasingepata namba
 
Daaahhh,,, umenipeleka mbaaliii saana Dragoon
Yaani naisoma hio listi huku mwili ukinisisimka
Wakati huo ndio tz mpira ulikua ukichezwa japo ulikua mpira wa ridhaa
Lkn walikua wakijituma na kucheza kwa moyo mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…