Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mmarekani hakuwa kwenye fomu yake kabisa kwenye hili kolabo, sijawahi msikia Mmarekani yule akiwa kwenye kolabo mbovu kiasi hiki, Mmarekani ameniangusha sana, ngoja nisubiri video probably it will prove me wrong
Mapenzi kwa Siku ndo nzuri etiBy th way nyimbi n mbaya sana
Aslay kiboko ya hawa wapenda kiki ali kiba mwenyew flopMapenzi kwa Siku ndo nzuri eti
acha uongo hiyo nyimbo ni tangazo la bellaire tena diamond na rick ross wataakuwa wamelipwa kwa kwa kuwatangazia pombe yaoIngawa wengi hamjui kilichomfanya Daimond asifanye show pale mlimani lakini ukweli ni kwamba ile kolabo na Rick Ross ndiyo sababu kuu iliyomfanya Diamond asifanye show ya bure.
Diamond anataka watu mzidi kummiss ili hata akitangaza show ya 50K muweze kwenda. Laiti angeenda Jana kwa vyovyote vile mngetaka aimbe na ule wimbo alioshirikiana na Rick Ross kitu ambacho kingemtia hasara.
Diamond bado hajatengeneza pesa kupitia huo wimbo na ukizingatia hata wiki bado haujafikisha halafu akubali kweli auimbe bure bure.
Mnajua amempa Rick Ross sh ngapi afanye naye kolabo?
Basi hii ndio sababu ya diamond kuwatosa kwenye show yenu ya bure.
Subirini show kubwa ataifanya kwa pesa ndefu na mtakuja tu.
[HASHTAG]#Diamond[/HASHTAG] are forever#
Unajielewa kweli?acha uongo hiyo nyimbo ni tangazo la bellaire tena diamond na rick ross wataakuwa wamelipwa kwa kwa kuwatangazia pombe yao