Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Mkuu binti akisoma id kuwa wewe ni Caotain halafu mtata unategemea nini kama sio kujihami?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nimecheka sana
Naomba mnisubiri love connect baada ya dakika 2 nitamwaga vigezo mtaona mtajipangaje 🀣🀣🀣🀣
Ashakuja hapa nenda pm yake hata umsalimie tuu
Yuko weak in love
 
Mimi binafsi jf naichukulia kama kijiwe cha kahawa.
Hata wanijie pm wangapi nachukulia poa tu.
Ni maamuzi yangu kujibu au kupotezea.

Nakuonaga unajihami mnooπŸ˜‚πŸ˜‚
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…