Ngoja tuone kama Saudi Arabia itaendeleza uthubutu iliyouashiria kwa kugomea matakwa ya Marekani

Ngoja tuone kama Saudi Arabia itaendeleza uthubutu iliyouashiria kwa kugomea matakwa ya Marekani

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Marekani inajiamini kuwa inaweza kuitishia nchi yoyote kama itaona kuwa inataka kufanya jambo ambalo litaathiri maslahi ya Marekani, hata kama jambo hilo ni kwa manufaa ya nchi hiyo.

Hapa duniani ziko nchi ambazo zimedhihirisha uthubutu wa kuiambia marekani ikome kuingilia maamuzi yao na haziiogopi. Nchi hizo ni Urusi, Korea ya kaskazini, Iran na uturuki (kama kuna nyingine sijui).

Hivi juzi Saudi Arabia inaonekana nayo imechoka kuingiliwa na marekani katika maamuzi yake na kuamua kuzingatia maslahi yake tu. Iko hivi: Marekani inaitaka Saudi Arabia kuchimba mafuta mengi zaidi ili bei ya mafuta ishuke duniani maana huko marekani na ulaya magharibi hali ni mbaya sana!!

Saudi Arabia imeitolea nje na imekubaliana na mapendekezo ya OPEC+ kupunguza uchimbaji wa mafuta. Marekani imeshaitishia Saudi Arabia kuwa itaiwekea vikwazo, itaondoa mifumo yake ya ulinzi wa anga toka saudi arabia!! Swali je Saudia itaendelea kukomaa? Ngoja tuone!

======

White House ‘willing to revisit’ ties with key ally​

America’s relationship with Saudi Arabia is seemingly on the rocks after OPEC+ announced a production cut

US President Joe Biden is “re-evaluating” the country’s close relationship with Saudi Arabia following a decision by OPEC+ to cut oil production, national security spokesman John Kirby revealed on Tuesday.

I think the president’s been very clear that this is a relationship that we need to continue to re-evaluate, that we need to be willing to revisit,” Kirby told CNN in an interview, adding that the president was willing to work with Congress to determine “what that relationship ought to look like going forward.

The official stressed that time was of the essence, insisting the re-evaluation was not “anything that’s going to have to wait or should wait, quite frankly, for much longer.” Not only are US interests in Ukraine at stake, but its national security interests as a whole are imperiled, he said.

Biden’s apparent desire to reconsider Washington’s partnership with Riyadh is a major shift from just four months ago, when he wanted to reset the relationship to a more friendly tone and discard the harsh rhetoric he’d leveled against the Saudis while on the campaign trail.

However, high-ranking figures within his own party have left him little choice but to take a hard line on the Gulf monarchy. Senate Majority Leader Chuck Schumer condemned the production cut in a tweet on Thursday, promising that “we are looking at all the legislative tools to best deal with this appalling and deeply cynical action, including the NOPEC bill.” The legislation, first introduced in 2000, would allow the US Justice Department to sue countries it accused of manipulating oil prices.

Senate Foreign Relations Committee chair Bob Menendez (D-New Jersey) demanded on Monday that the US “freeze all aspects” of its cooperation with Saudi Arabia, echoing Schumer’s argument that the OPEC+ production cut was the equivalent of underwriting the Russian military operation in Ukraine.

The reduction is expected to push prices above $100 a barrel, potentially forcing US gas prices up 10% — just in time for the midterm elections, in which the Democratic Party is fighting to hold on to its majority in the House of Representatives and its slight edge in the Senate. It also wipes out a slight production increase Saudi Arabia agreed to at Biden's behest in July.
 
Kinachoshangaza zaidi ni kuwa Marekani ina akiba ya mafuta mengi sana katika ardhi yake lakini haitaki kuyachimba bali imeyatunza kama akiba. Lakini inazilazimisha nchi nyingine zichimbe mafuta mengi ili bei ishuke!

Sasa kama inataka mafuta mengi yachimbwe si ichimbe ya kwake? Marekani inataka mafuta yakiisha duniani yenyewe ndio ianze kuyachimba na kuyauza kwa bei ya juu sana!
 
TAARIFA HII UMEIPATA WAPI? PROOF?
 
TAARIFA HII UMEIPATA WAPI? PROOF?
President Joe Biden said Tuesday there will be "consequences” for Saudi Arabia as the Riyadh-led OPEC+ alliance moves to cut oil production and Democratic lawmakers call for a freeze on cooperation with the Saudis.

Biden suggested he would soon take action, as aides announced that the administration is reevaluating its relationship with the kingdom in light of the oil production cut that White House officials say will help another OPEC+ member, Russia, pad its coffers as it continues its nearly eight-month war in Ukraine.

Democratic Sen. Richard Blumenthal of Connecticut and Rep. Ro Khanna of California introduced legislation that would immediately pause all U.S. arms sales to Saudi Arabia for one year. This pause would also halt sales of spare and repair parts, support services and logistical support.

Wewe unaishi ulimwengu upi? tembelea mashirika ya habari ya nchi za magharibi. Hiyo niliyonukuu ni FRANCE 24 Internationa News.
 
President Joe Biden said Tuesday there will be "consequences” for Saudi Arabia as the Riyadh-led OPEC+ alliance moves to cut oil production and Democratic lawmakers call for a freeze on cooperation with the Saudis...
utayasikiliza yote kwa wakti mmoja?Ni kama hivi umeleta taarifa and then proof! My favorite Tv stations are CNN and BBC World!, Aljazeera to some extent!
 
Kinachoshangaza zaidi ni kuwa Marekani ina akiba ya mafuta mengi sana katika ardhi yake lakini haitaki kuyachimba bali imeyatunza kama akiba. Lakini inazilazimisha nchi nyingine zichimbe mafuta mengi ili bei ishuke!

Sasa kama inataka mafuta mengi yachimbwe si ichimbe ya kwake? Marekani inataka mafuta yakiisha duniani yenyewe ndio ianze kuyachimba na kuyauza kwa bei ya juu sana!
Ndivyo walivyokuambia ivyo kwy vikao vyenu vya usalama wa marekani
 
uturuki ilikataa nini?
MAREKANI iliikataza Uturuki kununua mifumo ya ulinzi ya anga ( surface to air missiles) kutoka Urusi aina ya S300, S400 na kwamba angenunua ingesitisha utengenezaji wa vizuri muhimu vya ndege vita F35 hata hivyo uturuki ilikaidi mitambo ikanunuliwa na ikasimikwa na inapiga kazi baadae marekani ikaifutia mkataba wa utengenezaji vipuri.

Baadae Bulgaria na uturuki waliitest mitambo ya anga ya urusi dhidi ya F35 ambayo ni fighter jet ghali zaidi duniani ikiwa ni stealth na pia ina jamming system wali activate s400 uturuki na bulgaria wakairusha F35 ikaonekana mubashara ila hawakui-shootdown wakaprove kwamba f35 may be is stealth when US fights with Zimbabwe, Malawi etc.
 
Kuna jambo huna uelewa nalo- F-35 inaweza kuruka angani kwa two different modes- Stealth & unstealth mode.
 
Musaba na watch hundred wapo tayari kuchimba mafuta mengi bila kulazimishwa why biden anahangaika na huyu mwarabu wa Saudi?
 
Kaka wadunia kesha sema..akikaza shingo masaudi yatamkuta ya libya na Iraq.

#MaendeleoHayanaChama
Saudi Arabia imeshika kete muhimu sana 2.
(1)Usalama wa mashariki ya kati
(2) Petrodollar

Kete nyengine Saudi Akiitumia inaweza kuleta purukushani kuanzia US kwenyewe mpaka kwa washirika wake EU. Kete ya dini.

Licha ya hivyo Saudia ndiyo mnunuzi namba 1 ya silaha kwa Amerika. Kipindi cha Jamal Ghashugi alipouliwa Marekani ilikataa kuwawekea vikwazo Saudi kwa sababu ilihofia kupoteza kiasi kikubwa cha fedha kutoka Saudi.

Kete zote za Saudia zina gharama kubwa! Ikiwa US ipo tayari kulipia hizo gharama ngoja tuone.
 
Usa akiamua kufanya jambo jua kesha fanya calculations zote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom