Ngoja Tuone kama "wese" la Mwamposa litaisaidia mbele ya Max nzegeli na Pacome Ngena Zuzwaa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,297
Reaction score
14,588
Kati fundi Aucho pembeni Pacoume Ngwena Zuzwaa kuna huyu Waziri Wa Kazi Maalumu (Max nzegeli) Kila mechi Lazima awaweke hakika Wese boy wameingia kwenye MFUMO.

Dadekiiii, achana na Mudathri kuna Chama baba Anataka kuwaonesha namna gani Ganda la muwa haliishi utamu

Oya weweee Kazi kubwa Leo kapewa Mzinze awanyooshe vizuri mno ili midomo na kususa susa inyamazee

Tukutane kwa Mkapa
 
VVVIP 👎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…