Kijukuu03
Member
- Aug 24, 2018
- 19
- 32
4-1 ni ushindi wa Chelsea walioupata Stamford Bridge dhidi ya Cardiff City katika mechi ya ligi kuu nchini England jumamosi iliyopita Septemba 15.
Kante alicheza dakika zote 90 katika mechi hiyo, baada ya mchezo kumalizika Kante aliondoka kwenda kupanda treni ili kuelekea kwao Paris, France kuitembelea familia yake.
Bahati mbaya alikosa Treni.
Baada ya kukosa Treni Kante ali-google msikiti uliopo karibu ili aweze kuswali swala ya jioni.
Baada ya kupata msikiti wa karibu na kwenda kuswali, msitikini hapo akakutana na mashabiki wa timu mbalimbali za England, wakamualika nyumbani kwao ili waweze kupata chakula cha usiku kwa pamoja, Kante akakubali mualiko.
Kante akajumuika pamoja na mashabiki hao nyumbani kwao, na kupata chakula cha usiku, wakacheza video game (FIFA) ambapo Kante aliwafunga wote, na pia wakaangalia kipindi cha Gary Lineker ,Match Of The Day (MOTD) ambapo walikuwa wanaizungumzia mechi ya Chelsea dhidi ya Cardiff.
Shabiki wa Arsenal Badlur Rahman Jalil,31, anasema " Nilienda kuswali msikitini jumamosi jioni, tukaswali pamoja. Ni mafundisho ya dini ya kiislamu kuwaalika wageni nyumbani kwa ajili ya chakula cha usiku. Kwa hiyo nikamuomba , "
.
Akakubali kuondoka na mimi pamoja na kaka yangu kwa sababu yeye mwenyewe ndio alikuwa anaondoka kwenda nyumbani.
Alikuwa katika Diet ya Protein, hivyo tukala chicken Curry. Pia alikunywa na chai .
Baadae akatufunga wote katika FIFA, halafu tukaangalia kipindi cha Match of the Day."
.
Kundi la watu 8 mpaka 10 walikusanyika katika nyumba hiyo na kukaa na nyota huyo wa Chelsea zaidi ya saa mbili.
.
" Mimi ni shabiki wa Liverpool, lakini wengi wao hapa ni mashabiki wa Arsenal, lakini Kante ni zaidi ya mchezaji . Kama Muislamu, huyu ni mfano bora kwetu " alisema shabiki mmoja anayeitwa Jahrul, ambaye nae alikuwepo.
Baada ya kutoka hapo, Kante aliahirisha kwenda Paris, akachukua usafiri na kurejea nyumbani kwake.