N'Golo Kanté Kijana mnyenyekevu

Kuna siku nmekutana nae England Manchester City street 11 kwenye restaurant jamaa ni mtu wakujichanganya sana wadau walipiga nae selfie za kutosha, hana majivuno ndiyo maana anapendwa na wengi
Huyo wako ni Haruna Moshi
 
Kante hanaga Makuu kabisaa huyu Jamaaa...!! Sio Kama weusi wengine wakifakiniwa kina Baloteli balaa tupuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…