Ngolo Kante ameamua kuwajibu watu baada ya kuwa wakisema yeye ni humble kuliko watu wote namnukuu "Ni kweli kuna muda mwingine huwa kuna hii picha kwamba mimi ni mtu wa pekee sana na mtu mzuri sana"
"Lakini mwisho wa siku mimi ni mtu wa kawaida.Mchezaji ambaye nipo na wachezaji wengine.Hakuna haja yakusema mimi ni mtu mzuri sana na mwenye tabia nzuri Sana.Mimi ni mchezaji wa kawaida kama wengine kuna muda mwingine naona kama sifa zimezidi Sana,haitakiwi kuwa hivyo.
"Ni kweli Napenda kupatana na wachezaji wenzangu, ili kutengeneza uhusiano mzuri na kuwa na mahusiano mazuri na wale watu naokutana nao nikiwa mtaani au kwenye soka"
"Lakini tofauti na hapo, kuna watu wengi kwenye soka wapo kama mimi,Hatutakiwi kutengeneza kana kwamba kitu Cha ajabu Sana au kubwa Sana"