Unasema "kama tatizo halitakuwa kushuka kiwango chake..."....Ndiyo maana mimi nasema huyu Ngoma mpira ndio basi tena..kiwango chake kitashuka maradufu...subiri uone...hakuna mchezaji aliyewahi kutoka Yanga kwa kebehi na mikwara na kwenda timu nyingine iwe ni Simba au Azam akacheza kwa kiwango cha juu...mifano ipo mingi tu...yuko wapi Didier kavumbagu, yuko wapi yukle sijui walisema ni 'chumvi' alitoka Yanga akaenda Azam...yuko wapi Niyonzima...Ngasa alikwenda akarudi...yuko Kigi Makasi...wako wengi mno tena sana...Akina Edibily, Mohammed Hussein na wengineo walikwenda huko wakarudi Yanga na wakacheza mpira...ezeckiel Greyson 'Jujuman' alikwenda Simba kutoka Yanga ikawa mdiyo mwisho wake baada ya msimu mmoja au miwili...Sasa huyu sijui anaitwa Ngoma anajidanganya ...amelipwa Yanga mamilion na hakucheza kwa kuwa 'anaumwa'...sasa eti amepona amekwenda Azam ambayo ni Simba 'B'...Ngoja tusubiri na tuone...hatacheza huyu