Wamezuiwa, hamna Wabunge janjajanja wa Samia na genge lake .Ukimya watawala masikio Dodoma
Chama Cha Mapinduzi CCM kilisogeza mbele muda wa kutoa taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mchujo wa wagombea kutoka saa 11 jioni mpaka saa tatu na nusu usiku ila mpaka sasa saa nne na nusu usiku hakuna taarifa mpya.
Kumekuwa na shauku kubwa kwa watu wengi kutaka kujua majina aliyopitishwa kutokana na watu wengi waliojitokeza kuomba ridhaa.
Hata hivyo chama hicho kifanya marebebisho madogo ya katiba ili kuongeza majina kutoka matatu mpaka matano hatua ambayo ilitajwa kwamba ni ukomavu wa kisiasa.
Hahahaha😂😂😂😂Ukimya watawala masikio Dodoma

Goooooodaaaaa✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿💥💥💥Wamezuiwa, hamna Wabunge janjajanja wa Samia na genge lake .
Wamepigwa PIGO takatifu, PIGO Moja kubwaaa
Wamezuiwa na nani mkuu ?Wamezuiwa, hamna Wabunge janjajanja wa Samia na genge lake .
Wamepigwa PIGO takatifu, PIGO Moja kubwaaa
Siku ya kufa sokweInamaana hawajui hata makadirio ya kazi yao. Sasa waliharakisha nini?
Hii unaweza kuta hadi wiki inaisha. Siku zote hizo walikuwa wanafanya nini
NRNE is realUkimya watawala masikio Dodoma
Chama Cha Mapinduzi CCM kilisogeza mbele muda wa kutoa taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mchujo wa wagombea kutoka saa 11 jioni mpaka saa tatu na nusu usiku ila mpaka sasa saa nne na nusu usiku hakuna taarifa mpya.
Kumekuwa na shauku kubwa kwa watu wengi kutaka kujua majina aliyopitishwa kutokana na watu wengi waliojitokeza kuomba ridhaa.
Hata hivyo chama hicho kifanya marebebisho madogo ya katiba ili kuongeza majina kutoka matatu mpaka matano hatua ambayo ilitajwa kwamba ni ukomavu wa kisiasa.
Hahaha......hii haijawahi kutokea tangu 1992.Siku ya kufa sokwe
TiidhiWamezuiwa na nani mkuu ?
Hivi mkuu wamezuia kweli ?Hahahaha😂😂😂😂
Swali la msingi!Wamezuiwa na nani mkuu ?
No reforms no election imewaingia hadi mboga mboga fc.Hahaha......hii haijawahi kutokea tangu 1992.
Hongera sana TAL maumivu yako hayajaenda bure.
Tunathibitisha vipiTiidhi
Si mwasema ipo compromised!!!Tiidhi
Kumbe nawe unafuatiliaWamezuiwa, hamna Wabunge janjajanja wa Samia na genge lake .
Wamepigwa PIGO takatifu, PIGO Moja kubwaaa
Naam, maana tusije lishwa propaganda muda huuSwali la msingi!
Sema Kuna uzi wa Britannica umeliwa kichwa faster na Mashine ya AI sijui alikuwa ameleta nini...!Naam, maana tusije lishwa propaganda muda huu
Shida nyingine ya jf ndo hiyo, ukifanya uthibiti mkubwa wa taarifa platform inakosa nguvu overtimeSema Kuna uzi wa Britannica umeliwa kichwa faster na Mashine ya AI sijui alikuwa ameleta nini...!