inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,805 Reaction score 22,633 Jul 28, 2025 #41 felakuti said: Basi uongozi wa JF utakua makini sana ku grasp mada zenye hatarishi ambazo naamin Zina 98% ukweli na kuzifuta... Click to expand... Hufutwa mada za walokole dhidi ya uislam na hazina ukweli wowote.. JF wenyewe wapo tangu magu
felakuti said: Basi uongozi wa JF utakua makini sana ku grasp mada zenye hatarishi ambazo naamin Zina 98% ukweli na kuzifuta... Click to expand... Hufutwa mada za walokole dhidi ya uislam na hazina ukweli wowote.. JF wenyewe wapo tangu magu
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,894 Reaction score 14,783 Jul 28, 2025 #42 Kutoka watatu, wanakuja na watano, kesho watakuja na kumi, mwisho wa picha wataongeza majimbo wagawane keki ya taifa
Kutoka watatu, wanakuja na watano, kesho watakuja na kumi, mwisho wa picha wataongeza majimbo wagawane keki ya taifa
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Jul 28, 2025 #43 Carlos The Jackal said: Wamezuiwa, hamna Wabunge janjajanja wa Samia na genge lake . Wamepigwa PIGO takatifu, PIGO Moja kubwaaa Click to expand... Ww jamaa unaumia sana ila ndo hvy unajikaza tuu 😂
Carlos The Jackal said: Wamezuiwa, hamna Wabunge janjajanja wa Samia na genge lake . Wamepigwa PIGO takatifu, PIGO Moja kubwaaa Click to expand... Ww jamaa unaumia sana ila ndo hvy unajikaza tuu 😂
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,894 Reaction score 14,783 Jul 28, 2025 #44 econonist said: Wanatengeneza tension tu. Hakuna jipya. Click to expand... Nakubaliana na wewe mkuu.
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 2,975 Reaction score 4,082 Jul 29, 2025 #45 #45
Bobwe2 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 2,712 Reaction score 2,891 Jul 29, 2025 #46 Ccm ina wenyewe,yenyewe wenyewe sasa.