Ngoma gani kali ya hip-hop iliyofunga nusu mwaka?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salam wakuu,
As today it's the beginning of second phase of the year, unahisi ni ngoma gani kali ya hip-hop (Tanzania) iliyofanya vizuri kupita ngoma zote kuanzia January mpaka June?
 
Salam wakuu,
As today it's the beginning of second phase of the year, unahisi ni ngoma gani kali ya hip-hop (Tanzania) iliyofanya vizuri kupita ngoma zote kuanzia January mpaka June?
Iliyofanya vizuri sijui, ila ipo ninayoipenda tu
 
Ma mcee wengi sikuhizi ni mapushabu,
Shada la ukweli adimu kama dhahabu..
 
Kwa upande wa mainstream hakuna ngoma ya hiphop inayofanya/iliyofanya vizuri (kwa mtazamo/vigezo vyangu) ila Kwa upande wa Handakini huku nimeisikiliza Album ya Nikki mbishi Katiba Mpya nimeielewa, Ngoma nyingi Nikki ameandika kwa kutulia ukilinganisha na Album yake iliyopita ya Welcome to Gamboshi.
 
Naomba ngoma Kali katika hiyo album niitafute. Maana jamaa kidogo nimemsahau saivi mwendo wa kumsikiliza Black Maradona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…