Mkuu Kasheshe, huoni kuwa Dr Slaa ameleta changamoto na kuonyesha kwa vitendo ni jinsi gani demokrasia inaweza kutendeka. kasoro zilizojitokeza nadhani ni udhaifu wa taasisi nyingi sana, akiwamo Dr Slaa, na si vema, kwa maoni yangu, kumtwisha yeye mzigo peke yake kama ndio chanzo cha yaliyotokea.Haya Dr. Slaa tunashukuru kwa kutaka kuingiza nchi yetu kwenye mfarakano usiokuwa na maana... kisa umesifiwa sana...
Hili jambo laweza kuondoa credit zote ulizopewa na wananchi nakutakia kila la kheri mkuu.
By the way, dalili za mvua ni mawingu:
---> Maboxi ya hewa ya kura kule Mbeya
---> Kulumbana na Jeshi letu tukufu kwenye vyombo vya habari.
--->