Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani baada ya mvutano wa hapa na pale, nimeamua kukubali matokeo kujipima mimi na wife...kituko ni jinsi ya kukitumia hajui na mimi ni hivyo hivyo msaada jamani kwa mwenye kujua.
Ushauri, nendeni kwa washauri nasaha wawaandae na wawapime vizuri, msicheze na maisha kijinga hivyo
HIV is beyond infidelity, you guys need some proper couselling before jumping into testing, kumbukeni kwamba hata uwe negative, kuna nasaha muhimu na zinatolewa na wataalam wa tiba waliofundishwa hiyo kazi
ushauri nasaha na kupima ni bure
Ni kweli kabisa ndivyo nilivyomshauri tuende hospital,anakataa kabisa anadai bora ajipime mwenyewe.
Ni kweli kabisa ndivyo nilivyomshauri tuende hospital,anakataa kabisa anadai bora ajipime mwenyewe.
Ni kweli kabisa ndivyo nilivyomshauri tuende hospital,anakataa kabisa anadai bora ajipime mwenyewe.
Kuna watu wa ajabu sana!
wameshakuja mkuu, tena sio mara mojaJF imekuwa facebook sasa,kuna siku mtu atakuja kuomba ushauri jinsi ya "kulala" na mkewe chumbani!
Jamani baada ya mvutano wa hapa na pale, nimeamua kukubali matokeo kujipima mimi na wife...kituko ni jinsi ya kukitumia hajui na mimi ni hivyo hivyo msaada jamani kwa mwenye kujua.