Ngoma imenoga leo mrs amekuja na vipimia H.I.V

Big jay

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
96
Reaction score
33
Jamani baada ya mvutano wa hapa na pale, nimeamua kukubali matokeo kujipima mimi na wife...kituko ni jinsi ya kukitumia hajui na mimi ni hivyo hivyo msaada jamani kwa mwenye kujua.
 
Of what use kama hata kukitumia hamjui?? Pili, walioweka utaratibu wa ushauri nasaha kabla na baada ya kupima wana maantiki. Dont ignore ushauri kabla ya kupima.
 
Jamani baada ya mvutano wa hapa na pale, nimeamua kukubali matokeo kujipima mimi na wife...kituko ni jinsi ya kukitumia hajui na mimi ni hivyo hivyo msaada jamani kwa mwenye kujua.

Ushauri, nendeni kwa washauri nasaha wawaandae na wawapime vizuri, msicheze na maisha kijinga hivyo

HIV is beyond infidelity, you guys need some proper couselling before jumping into testing, kumbukeni kwamba hata uwe negative, kuna nasaha muhimu na zinatolewa na wataalam wa tiba waliofundishwa hiyo kazi

ushauri nasaha na kupima ni bure
 
Ni kweli kabisa ndivyo nilivyomshauri tuende hospital,anakataa kabisa anadai bora ajipime mwenyewe.
 
Ni kweli kabisa ndivyo nilivyomshauri tuende hospital,anakataa kabisa anadai bora ajipime mwenyewe.

Kama hataki kwenda hospitali kupima mwache ajipime mwenyewe, wewe kapime hospitali.
 
Ni kweli kabisa ndivyo nilivyomshauri tuende hospital,anakataa kabisa anadai bora ajipime mwenyewe.

Na majibu yakiwa kinyume ujue atakushawishi ajiue mwenyewe nawe utakubali kama ulivyo shauriwa msiende kwa mshauri na ukakubali
 
Ok! hii kitu mwenyewe nimeipinga sana but nimefikiria sana but nimeona nifanye atakavyo kwani me nipo tayari kwa majibu yoyote.. Kipimo chenyewe kimeandikwa ELERE H.I.V 1/2
 
Ni kweli kabisa ndivyo nilivyomshauri tuende hospital,anakataa kabisa anadai bora ajipime mwenyewe.

usikubali, inaonekana hajajiandaa na results, hujui reaction yake itakuaje
 
JF imekuwa facebook sasa,kuna siku mtu atakuja kuomba ushauri jinsi ya "kulala" na mkewe chumbani!
 
Jamani baada ya mvutano wa hapa na pale, nimeamua kukubali matokeo kujipima mimi na wife...kituko ni jinsi ya kukitumia hajui na mimi ni hivyo hivyo msaada jamani kwa mwenye kujua.

Mhhh kweli kuna watu wanamaajabu dunian... ndo juzi nampekeka mwanangu clinic nikamkuta mama mmoja anachambwa na mabesi yeye anajijazia uziti wa mwanae mwenyewe anampima kwenye mizan yakupimia unga kajijazia miez 6. Ndo nafanansha ishu ya huyi bwana yakutaka jpma mwenyewe HIV while kuna people who are paid to perform that job.najua utakua ushajimima but for the sake of others HIV testing c kitu cha kuchezea nafanya kazi ktk upimaj.. si am toking frm experienc hzo instruments za kupimia hua santyms zasoma false resulrs if not handled well kwa mfano c ofisin kwetu zahifaziwa kwa rum yenye AC 16 degrees masaa 24 sasa we mwenzetu bibie cjui kakiweka kwenye poch hadi kukufikia na joto la dar duuu halahamdulilaii.pia wakat wakufanya hzo test mtu akikutwa positive kunakuaga na other confermatory tests carried out bfore kuja kwenye conclusion kua one is positive which am sure HUNAAA .so plz achen fanya kazi msizozweza.hapa cjazungumzia maswala ya conselling whch are vry crucial...wenzangu washachangia
 
Haya makubwa sana.
Mshauriane vema ili mwende Hosp
acheni mzaha mpaka hapo mmeshaona
yatakayokuja kutokea .

Hamjui kutumia halafu mmeng'ang'ania
vituo havikuwekwa kwa bahati mbaya
nendeni Hosp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…