Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Hii vita imana hadi kesho itambamba forever hapa Ferre Gola le padre alisuguaMadilu system - Fifi alonge
Ferre Gola- Vita imana
Zisikie halafu urudi hapa
Kalii.. hivi hizi ni rhumba?Madilu system - Fifi alonge
Ferre Gola- Vita imana
Zisikie halafu urudi hapa
mizigo mingi ngoma tano acha ufala si mwaga ngoma hapoBinafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati...
Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana..!!!
1> Bane by Oliver NGoma
2>Samba Mpangala -Marina
3> Monique Seka -Okaman
4> M. Seka -Adeba
5> O. N'Goma -Fely
Etc......
Aisee mizigo ni mingi wacha niwaachie wadau (Wazee wenzangu) na nyie mniwekee za kwenu..
NB: Wale wa Amapiano (Asumaniiii) hatutaelewana hapa..
Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati...
Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana..!!!
1> Bane by Oliver NGoma
2>Samba Mpangala -Marina
3> Monique Seka -Okaman
4> M. Seka -Adeba
5> O. N'Goma -Fely
Etc......
Aisee mizigo ni mingi wacha niwaachie wadau (Wazee wenzangu) na nyie mniwekee za kwenu..
NB: Wale wa Amapiano (Asumaniiii) hatutaelewana hapa..
Nitaweka em ngoj kwanza nitoke hapa TAIFA si unajua leo siku ya MNYAMA.Sasa mtoa maada unashindwa kuweka audio kabisa
Ndio maana mtaani Kuna amani huku, poa poaNitaweka em ngoj kwanza nitoke hapa TAIFA si unajua leo siku ya MNYAMA.
Hiyo Mario by Franco Luambo ipo remix yake kapiga Mwanamke aiseeee hatari sana.Julie -Oliva ngoma.
Mario-Franco luambo.
Mamuu-Franco luambo.
Azda-Madilu system.
Fredwaaa-Madiluuu.
Muchana-Kanda bongomani.
Elizabeth-Kanda bongomani.
100%-Fere gola.
Kwa sasa ndio izo nizikumbukazo.
Hiyo Mario by Franco Luambo ipo remix yake kapiga Mwanamke aiseeee hatari sana.
Hizi ndio Rhumba Sasa zile ulizotaja wewe ni ZoukKalii.. hivi hizi ni rhumba?
Tshala muana -marioHiyo Mario by Franco Luambo ipo remix yake kapiga Mwanamke aiseeee hatari sana.