Ngoma kupigwa mitandaoni vs Wabunge wa CCM kudemka Bungeni

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Vile ngoma zinapigwa mitandaoni na wabunge wa CCM kuzicheza Bungeni bila hiari yao![emoji16][emoji16][emoji16]



 
Wamesahau wajibu wao wako bize kila siku kuperuzi mambo yanayoongelewa na watu mitandaoni

Serikali,bunge na mahakama mihimili yote hii kwa Sasa inademka na mitandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…