Ngoma mpya ya Whozu na Zuchu ni ya kuweka mbali na watoto. BASATA mko wapi?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wanabodi,

Hii ngoma mpya ya Whozu na Zuchu mmeisikia lakini? Kama una mwanao pembeni hakikisha unamvalisha headphone everytime wimbo huu ukiwa unapigwa huko mtaani.

Lugha iliyotumika ni kali mno hasa kipande anachoimba Zuchu.

Sijajua walikuwa wanalenga lakini kwa kuwa hawa ni wasanii wa CCM basi bila shaka BASATA itapita kimya kama hawajauona!

Ulivyoeleza na nilivyosikiliza ni vitu viwili tofauti sio wimbo ambayo mtoto ataelewa imeimbwa nini mtoa mada umeongeza chumvi mno
 
Wanabodi,

Hii ngoma mpya ya Whozu na Zuchu mmeisikia lakini? Kama una mwanao pembeni hakikisha unamvalisha headphone everytime wimbo huu ukiwa unapigwa huko mtaani.

Lugha iliyotumika ni kali mno hasa kipande anachoimba Zuchu.

Sijajua walikuwa wanalenga lakini kwa kuwa hawa ni wasanii wa CCM basi bila shaka BASATA itapita kimya kama hawajauona!

Nasemaga Whozu sio mwanamuziki wala msanii, akauze viatu vya kakake Frank knows ni bora
 
Wanabodi,

Hii ngoma mpya ya Whozu na Zuchu mmeisikia lakini? Kama una mwanao pembeni hakikisha unamvalisha headphone everytime wimbo huu ukiwa unapigwa huko mtaani.

Lugha iliyotumika ni kali mno hasa kipande anachoimba Zuchu.

Sijajua walikuwa wanalenga lakini kwa kuwa hawa ni wasanii wa CCM basi bila shaka BASATA itapita kimya kama hawajauona!

Kikubwa haumsemi bi Urojo wala chama chake, hayo mengine BASATA(UVCCM) hawana shida nayo.
 
Watoto wakisikia hii miziki ndy wanazidi ku,iguana mitaro

Ova
 
Back
Top Bottom