Nasemaga Whozu sio mwanamuziki wala msanii, akauze viatu vya kakake Frank knows ni boraWanabodi,
Hii ngoma mpya ya Whozu na Zuchu mmeisikia lakini? Kama una mwanao pembeni hakikisha unamvalisha headphone everytime wimbo huu ukiwa unapigwa huko mtaani.
Lugha iliyotumika ni kali mno hasa kipande anachoimba Zuchu.
Sijajua walikuwa wanalenga lakini kwa kuwa hawa ni wasanii wa CCM basi bila shaka BASATA itapita kimya kama hawajauona!
Whozu nimsanii mzuri kiongozi sema wewe upendi tu aina yake ya uimbaji mimi msaniii simuelewi na sijui anapendwa na nini ni ChinomanNasemaga Whozu sio mwanamuziki wala msanii, akauze viatu vya kakake Frank knows ni bora
Kikubwa haumsemi bi Urojo wala chama chake, hayo mengine BASATA(UVCCM) hawana shida nayo.Wanabodi,