Hapa sijaelewa anatakiwa kwanza amshukuru Mungu halafu Yesu ndio afuate.....au Yesu ni Mungu?UMEMSHUKURU YESU LAKINI ALIE KUAMSHA SALAMA MAANA HUYU MTANDALE HATA SIDHANI KAMA ANAKUJUA
😅Hapa sijaelewa anatakiwa kwanza amshukuru Mungu halafu Yesu ndio afuate.....au Yesu ni Mungu?
Huyo jamaa mbona harudi...? Au story yake ni Fix..UMEMSHUKURU YESU LAKINI ALIE KUAMSHA SALAMA MAANA HUYU MTANDALE HATA SIDHANI KAMA ANAKUJUA
Kwa hiyo ww auhaso. Umekaa kwa shemeji unasubiri wali maarage wa mchana. Huku mkigombania remote na dada wa kazi?Kijana anahaso sana
Mizimu ni vitu gani?Nimeishukuru Mizimu ya kwetu,Yesu ukimshukuru wewe inatosha.
Sekunde moja ni miaka elfu moja.Na miaka elfu moja ni sekunde moja.Asema BWANA.Huyo jamaa mbona harudi...? Au story yake ni Fix..
Aje aikomboe Dunia, maana hali ni mbaya sana huku.
Kwani yesu anamjua? 😅😂UMEMSHUKURU YESU LAKINI ALIE KUAMSHA SALAMA MAANA HUYU MTANDALE HATA SIDHANI KAMA ANAKUJUA
Sio fresh kupigwa Ban aisee 🤣🤣🤣Naahidi kufata nyayo zako...
Hard work pays#KOMASAVA ON THE USA BILLBOARDS CHARTS 🇺🇸🤝
#komasava Unakuwa Wimbo Wa Kwanza Kutoka Tanzania Kuingia Kwenye Charts Za Billboards Marekani (Billboards U.s Afrobeats Songs Top 50) Na Kushika Nafasi Ya #39 Ikiwa Ni Ingizo Jipya 🤝🗺
#KOMASAVA TO THE WORLD 🌎
Source:Chapo wa Mtandao wa X.
IllogicalSekunde moja ni miaka elfu moja.Na miaka elfu moja ni sekunde moja.Asema BWANA.
Si lazima uifuate.Tazama kalenda.Illogical