and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,999
Full AI..Namkubali R. Kelly:
Maana kwa sasa kuna balaa la google VEO 3, ambapo kutofautisha halisi na fake (AI) imekuwa mtihani.
- Ila ninashaka kama audio ni yake au Ai,
- Image visual naona kama ni AI generated.
Na hizi ni stages za mwanzoni, tunapoelekea kunatisha zaidi...AI ni kiboko.
Kilichopo ni trend imetokea ya huyo rais Traore, ni kama vita ya Hamas na IDF youtube ziliwekwa hadi videos za video games na AI...YouTube kumejaa AI videos za Traore!
Ukitaka kuona ujinga wa watu, ingia kwenye comment section!
Ooh kumbe…Hiyo mi AI sio R kelly halisi, jamaa bado yupo lupango
Huko mbele tena maLIJENDI ndio itakuwa pona yetu, imavuja video unamsukumia mtu UKUNI, unajikaba unaisingizia AI, ndoa inabaki salama 😂🤣Na hizi ni stages za mwanzoni, tunapoelekea kunatisha zaidi...
💯%.Kilichopo ni trend imetokea ya huyo rais Traore, ni kama vita ya Hamas na IDF youtube ziliwekwa hadi videos za video games na AI...
Kinachotokea content creators wanafanya kila wawezalo videos zao zipate views, na mara nyingi hawa ni vijana wa kiafrika iwe west Africa, East Africa n.k, wote hao wanatengeneza hizo content kupata views..
Hio ni trend kwa sasa , itapita, itakuja trend nyingine itapita..
teknolojia nyingi ikiwa ni pamoja na Artificial Intelligence zilianza kutumika kwa siri au ndani ya mashirika maalum kama jeshi, serikali, mashirika ya ujasusi, na makampuni makubwa kabla ya kuja kuwa public.Huko mbele tena maLIJENDI ndio itakuwa pona yetu, imavuja video unamsukumia mtu UKUNI, unajikaba unaisingizia AI, ndoa inabaki salama 😂🤣
Not real ni AI pureHakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.
Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.
Hili ni tsunami kabisa.
Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na kumuomba Mungu amlinde Rais wetu huyo.
Wimbo huo hivi sasa uko kwenye tano bora katika chati za Billboard na unatarajiwa kuwa namba moja ifikapo Jumapili ya wiki hii.
🤣🤣😉😉
Hiyo ni AI kweli Ila swala la kufanya project anaweza kufanya akiamua .Hiyo mi AI sio R kelly halisi, jamaa bado yupo lupango
Ilishaniingiza chakaAI ni kiboko.
😂🤣🤣Ilishaniingiza chaka
Miafrika anayoichukia Dudubaya na wewe huyo atakula za kichwa tano.Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.
Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.
Hili ni tsunami kabisa.
Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na kumuomba Mungu amlinde Rais wetu huyo.
Wimbo huo hivi sasa uko kwenye tano bora katika chati za Billboard na unatarajiwa kuwa namba moja ifikapo Jumapili ya wiki hii.
🤣🤣😉😉
Kwa hiyo huyo ni R. Kelly mwenyewe na si AI?Huo wimbo una muda kidogo alianza R Kelly wameimba na wanamuziki wengine katika wiki ya 8 toka utoke nadhani..
Kwani unajua nilipo sasa hivi hadi unauliza narudi lini?Miafrika anayoichukia Dudubaya na wewe huyo atakula za kichwa tano.
Halafu we unarudi lini huku dunia ya 3 upokelewe na maua pale airport badae upotee😆
Daah😂🤣🤣
Hapa kichwa kichwa utasema chair-fire anaendesha hiyo pikipiki, na hizi ni stage za mwanzo huko tunapoelekea itakuwa ina uhalisia kwa asilimia kubwa zaidi.
Sauti ya kwake ila video ni AI.Kwa hiyo huyo ni R. Kelly mwenyewe na si AI?