Ngoma ya Roma ft Stamina....

Joint kali kabisa ya hiphop kwa miaka ya karibuni ni ile ya Stamina,Roma na J moe.Asee kama hujaiskia hii kapimwe mkojo.Inaitwa Mmeroga remix
 
Wamegusa nyanja nyingi mojawapo ni mgogoro wa wakulima na wafugaji. Mbali na burudani inaelimisha kiasi chake
 
Ushawahi kufanya show kibiti? dah hawa jamaa ni shida.
 
Hao ndo majuzi Stamina kavaa t-shirt imeandikwa Zari Ya Roma imeandikwa Wema.Hakuna kitu hapo upuuzi mtupu.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Hao ndo majuzi Stamina kavaa t-shirt imeandikwa Zari Ya Roma imeandikwa Wema.Hakuna kitu hapo upuuzi mtupu.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Sawa mkuu...ila ngoma umeisikiliza vizuri lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…