Ngoma ya Roma Na Chidi Benz ni overrated tu

Ngoma ya Roma Na Chidi Benz ni overrated tu

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Hii ngoma nasikia harufu ni nyimbo ya kawaida sana...kuanzia content flow hata beat ila nasikia wana kitaaani wanasema ni ngoma kali sanaaa
Mbaya zaidi wanasema chid benz kamfunika Roma lakini sijaona alichoimba chid wala alichoimba Roma

Ni mtazamo tu
 
Japo sijaisikiliza ndio kwanza nakusikia hapa na mm nasema ni bonge moja langoma hasa chid b kaua ngoja kwanza nikaitafute niisikize nakuja
 
Back
Top Bottom