Broadcast Member Joined Jun 19, 2022 Posts 76 Reaction score 285 Jan 6, 2024 #1 Hii ngoma nasikia harufu ni nyimbo ya kawaida sana...kuanzia content flow hata beat ila nasikia wana kitaaani wanasema ni ngoma kali sanaaa Mbaya zaidi wanasema chid benz kamfunika Roma lakini sijaona alichoimba chid wala alichoimba Roma Ni mtazamo tu
Hii ngoma nasikia harufu ni nyimbo ya kawaida sana...kuanzia content flow hata beat ila nasikia wana kitaaani wanasema ni ngoma kali sanaaa Mbaya zaidi wanasema chid benz kamfunika Roma lakini sijaona alichoimba chid wala alichoimba Roma Ni mtazamo tu
R Road Traffic Signal JF-Expert Member Joined Mar 17, 2022 Posts 621 Reaction score 1,958 Jan 6, 2024 #2 Sawa. Tuma salamu kwa watu watatu.
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 3,447 Reaction score 11,274 Jan 6, 2024 #3 Chid kaua ile mbaya
T TANZANIAN NINJA JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 456 Reaction score 534 Jan 6, 2024 #4 Wengi wape, only you, perhaps you wrong
mr pipa JF-Expert Member Joined Jul 26, 2021 Posts 3,074 Reaction score 6,472 Jan 6, 2024 #5 Japo sijaisikiliza ndio kwanza nakusikia hapa na mm nasema ni bonge moja langoma hasa chid b kaua ngoja kwanza nikaitafute niisikize nakuja
Japo sijaisikiliza ndio kwanza nakusikia hapa na mm nasema ni bonge moja langoma hasa chid b kaua ngoja kwanza nikaitafute niisikize nakuja
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 31,913 Reaction score 65,514 Jan 6, 2024 #6 Ngoma Kali mno, Roma kazingatia mistari, chid kapita kwenye flow.
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,858 Reaction score 23,768 Jan 6, 2024 #7 Hamna kitu mule... Kelele tu
R Right eye JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 1,149 Reaction score 1,994 Jan 7, 2024 #8 wewe ni chidy ama Roma
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 3,984 Reaction score 5,820 Jan 7, 2024 #10 Wewe ni ex-girlfriend wa nani kati ya hao?