Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
ipo wapi?Hii ngoma kiukwel ni hatar mno na kideo chake ni balaaa tupu.....Big Up Baba Qaillah!....Naona Jamaa katumia mkwanja mrefu sana kuandaa video ya wimbo huu ila ninachojiuliza hii kaz itamlipa vip hizo gharama alizotumia?
Kuiga style hiyo ni kawaida...hata huyo Diamond nyimbo ya Nana style ile ni ya Fally Ipupa.Inaamsha lakini style nyingi kaiba kutoka kwa braza Mond.
ipo wapi?
Tia tia nyama bas Nifah kwenye habar yako......inaonekana kuna vitu unavijua.Unauliza gharama?Jiulize kwanza anapiga mishe gani hadi kufanya kideo cha gharama hivyo?
Ukishapata majibu hutohoji tena.
Unauliza gharama?Jiulize kwanza anapiga mishe gani hadi kufanya kideo cha gharama hivyo?
Ukishapata majibu hutohoji tena.
Huyo chief Kiumbe niliona uzi wake humu ndan wanasema kafulia eti karud kwao anapiga mishe za boda bodaChief Kiumbe.
Huyo chief Kiumbe niliona uzi wake humu ndan wanasema kafulia eti karud kwao anapiga mishe za boda boda
Mmmnh! Jamaa hajachoka kiivyo, ana hotel na anamiliki kigazeti fulani cha wiki.
Haingizi hela kivile kwa sasa, ila hajachoka kama inavyosema. Aliyechoka ni Ustaadh Juma Namusoma.
Ova
Huyo huyo juma na musoma hebu wekeni picha yake,
Unafurah mwenzako kuishiwa?
My new raidaaaaaaChief Kiumbe.
Huyo huyo juma na musoma hebu wekeni picha yake,