Huyo ndio anaitwa sir Maatope from Tandale kwa Mtogole ccm kwa mzee Akilimali wa Yanga.Akiweka uzi humu unatakiwa mtu ujiongeze.
Promo nyiiiiiiingi ila kuapload tu hako kanyimbo hapa imekuwa issue!
Some people bhana!
Isije kuwa yule wanaemwita J lo wa bongo( sinta) mhh binafsi sijui shilole huwa anaimba nini mwenzetu!
ikitokea hivyo,nitakunya na kujanza uwanja wa taifa mpya.
ikitokea hivyo,nitakunya na kujanza uwanja wa taifa mpya.
wajamameni hebu nipunguzeni kasi mwenzenu ! natimua vumbi kila kona napiga misele kuutafuta huo wimbo wa SHishi na JLo siambulii kitu! mtu mzima navuja jasho mpaka kwenye meno hamnihurumii? tupieni basi ako ka wimbo!
Aisee..!!
una kipaji cha Kunya mkuu...